Header Ads

BUGOMOLA ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI GEITA.

Zoezi la kuwaapisha madiwani wateule wa Halmashauri ya mji Geita limeendelea leo katika ukumbi wa GEDECO mjini Geita.Sambamba na hilo pia madiwani hao wamepiga kura za ndio kumchagua mwenyekiti wa Halmashauri ambapo Leonard Kiganga Bugomola ndiye aliyeibuka mshindi na kuwa ndiye mwenyekiti wa Halmashauri ya mji Geita.

Leonard Buganga Bugomola ni Diwani wa kata ya Bomba mbili(CCM) Geita mjini na Mkurugenzi wa LENNY HOTEL iliyopo eneo la Bomba mbili Geita mjini.







No comments