Header Ads

MAFURIKO: Picha 40 za Mikutano yote ya Lowassa Leo Jijini Dar es Salaam.



Mgombe Urais wa CHADEMA Mhe. Edward Lowassa akiwa na Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo Saed Kubenea
Msafara wa Mgombea Urais wa CHADEMA akiwa maeneo wa Ubungo akiendelea na kampeni.. Jijini Dar es Salaam.
Wakazi wa Mwembeyanga, Temeke waliojitokeza kumsikiliza Mgombea Urais wa CHADEMA Mhe. Edward Lowassa.
Mgombe Urais wa UKAWA, Mhe. Edward Lowassa akiwasili katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke.

No comments