Header Ads

JAMAA AJIKUTA MATATANI KWA KUENDESHA KURA ZA MAONI KARIAKOO.


Mtu mmoja huko Kariakoo  jijini Dar amekamatwa na Polisi kwa kuendesha zoezi lisilo rasmi wala lisilofuata kanuni, sheria na taratibu za nchi, kwa kupiga kura za 'chap chap' ili alinganishe matokeo atakayopata na yale yaliyotolewa na Twaweza hivi juzi .

Taarifa hii na picha zifuatazo  ni  kwa  hisani  ya  wavuti


No comments