Header Ads

KIMBISA AMLAKI DK. JAKAYA KIKWETE MJINI DODOMA, ASEMA WANAOMCHULIA KUHAMA CCM WAMEULA WATAUMBUKA

 Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Adam Kimbisa, baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma, ambapo ataongoza vikao vya Kamati ya Maadili na Kamati kuu ya CCM vitakavyofanyika katika ukumbi wa White House Makao Makuu Dodoma. Kushoto ni Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana   
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, alipowasili leo Uwanja wa Ndege mjini Dodoma. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa.
Mwenyekiti wa CM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Mwenyekiti wa CCm mkoa wa Dodoma Adam Kimbisa alipowasili leo mjini Dodoma.CCM BLOG

No comments