VIDEO YA DAVIDO HATARINI KUFUNGIWA.
Msanii nyota wa muziki nchini Nigeria,David Adeleke "DAVIDO" anatarajia kufanyiwa uchunguzi na shirika la kupambana na dawa za kulevya nchini humo kutokana na video ya wimbo wake mpya wa FANS MI. ambao unaonekana kuchochea matumizi ya dawa hizo,na pia kuchochea ngono.
Post a Comment