Header Ads

MLINZI AUAWA USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA GESTI MOJA NYARUGUSU MKOANI GEITA USIKU WA KUAMKIA LEO.

Mlinzi mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa amekutwa ameuawa huko Nyarugusu mkoani Geita usiku wa kuamkia leo,taarifa zaidi tutaendelea kuwaletea mara baada ya kuongea na kamanda wa polisi mkoa wa Geita.Hakuna kitu chochote kilichoibwa katika Gesti hiyo..............Paul Bahebe.

No comments