Header Ads

MBUNGE MWINGINE WA CHADEMA ATANGAZA KUTOGOMBEA TENA UBUNGE.






Mbunge wa Karatu kwa tiketi ya Chadema,mchungaji Israel Natse,amejitoa rasmi katika siasa na kurudia kazi yake ya uchungaji katika kanisa la kiinjili la  kilutheri Tanzania (KKKT) dayosisi ya kaskazini.

Akizungumza kwa njia ya simu alisema makubaliano yake na chama ilikuwa agombee muhula mmoja tu na sasa anampisha mwingine.

"Mimi narudi kwenye kazi yangu ya uchungaji naachana na siasa,huu ndio wito wangu nilioitiwa na Mungu ya Uchungaji."Alisema.







No comments