MAUAJI YA MLINZI NYARUGUSU MKOANI GEITA.
Mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Lucs Chuma(27) mkazi wa kata ya Nyarugusu,mtaa wa Zahanati ameuawa kikatili usiku wa kuamkia leo,wakati akiwa kwenye kazi ulinzi katika hotel ya NELLYS.
Mashuhuda wa tukio hilo wanasema kuwa mpaka sasa hawajajua ni nani aliyesababisha mauti ya mlinzi huyo.Taarifa zaidi tutaendelea kuwaletea mara baada ya kuzungumza na kamanda wa polisi mkoa wa Geita, taarifa hizi ni kwa mujibu wa meneja wa hoteli hiyo pamoja na mtu wa mapokezi aliyekuwa zamu usiku wa leo.
Post a Comment