Nimekonda Sababu Nafanya Sana Mapenzi– Huddah Monroe.
Huddah Monroe ni mwanamke anayetumia muda mwingi kusafiri katika nchi mbalimbali na kula bata.
Lakini kingine ambacho anakifanya mara kwa mara ni kula uroda… mara tano, mara sita kwa siku? Jibu analo mwenyewe lakini amekiri kuwa mwili wake umepungua sababu anavunja amri ya sita mara nyingi mno!
#TBT! I miss my body like this ! Sema kukonda these past months? Been up and down like an athlete, paper chasin see_no_evil and maybe too much SEX??”
Post a Comment