MAJAMBAZI WAVAMIA KITUO CHA POLISI STAKISHARI UKONGA NA KUUA ASKARI
WATU walio na silaha za moto wamekivamia kituo cha Polisi Staki Shari Ukonga na kuwaua watu 7 wakiwepo Polisi wanne.
Taarifa kutoka eneo hilo la tukio ambapo Kituo hicho ni Makao Makuu ya Polisi Wilaya ya Ukonga zuinaarifu kuwa watu hao ambao idadi yao haijajulikana walivamia majira ya saa tano usiku wa Julai 12 mwaka huu.
Mbali na kuuwa watu pia inadaiwa kuiba silaha kadhaa kituoni hapo zikiwepo SMG 15 na SR 6 na risasi.
Mmoja wa watu waliouwawa katika tukio hilo inaelezwa kuwa ni dereva wa bodaboda aliyetambulika kwa jina maarufu Mandevu ambaye inaelezwa alikuwa amewapeleka watu hao kituoni hapo lakini wakati wa kuondoka pikipiki yake iligoma kuwaka na hivyo kupigwa risasi na wahalifu hao.

Post a Comment