Header Ads

LOWASSA KUCHUKUA FOMU YA YA KUOMBA KUGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA.

Image result for LOWASSA



Aliyekuwa waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa ambaye amekihama chama cha mapinduzi na kujiunga na Chama cha demokrasia na maendeleo( CHADEMA). Leo anatarajiwa kuchukua fomu ya kuwania kugombea urais kupitia Umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA).
Hayo yamethibitishwa na Naibu katibu mkuu (CHADEMA) Salum Mwalimu alipokuwa akiongea na waandishi wa habari.

.

No comments