Header Ads

AZAM YAFANIKIWA KUINGIA FAINALI KOMBE LA KAGAME BAADA YA KUICHALAZA KCCA.

Image result for AZAM



Hatimaye mchezo uliokuwa ukiendelea jijini Dar es salaam kati ya timu ya Azam Fc na KCCA umemalizika kwa Azam kuibuka washindi kwa kuichapa KCCA 1-0, goli ambalo limefungwa dakika ya 78 na FARRID MUSSA .

Kwa matokeo hayo wanalambalamba hao wamefanikiwa kutinga fainali.

PAUL WILLIAM NA WATANZANIA WOTE TUNAWATAKIA KILA LA KHERI AZAM FC.



















No comments