Header Ads

ZOEZI LA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA GEITA LAENDELEA HUKU KUKIWA NA CHANGAMOTO KADHAA.

 Wananchi wakiwa eneo la kujiandikisha katika kituo cha kivukoni kata ya kalangalala wilayani Geita,jana usiku ili kuwahi nafasi ambapo wengi wamelala kituoni hapo.Kumekuwepo na kawaida ya watu kutoka kata nyingine na hata vijiji kwenda kujiandikisha katika vituo visivyokuwa vyao,hali iliyopelekea baadhi ya wananchi kushindwa kujiandikisha katika awamu ya kwanza kwenye kata za Buhalahala.


Watu wakipanga mawe ili kuwahi na kushika nafasi mapema kabla hakujapambazuka na foleni kuwa kubwa lakini hata hivyo imeelezwa wamama na wazee wamekuwa wakisukumwa.Habari na Paul William(bahebe)

No comments