WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AINGIA GEITA KUSAKA WADHAMINI.
Waziri mkuu Mizengo Pinda leo amefika Mkoani Geita kusaka wadhamini ambapo katika wilaya ya Geita mjini amepata wadhamini 45,huku waziri wa maliasili na utalii Lazaro Nyarandu akiwa ametangulia kabla yake na kupata wadhamini 44.
Kikundi cha ngoma kutoka kabila la wasukuma kikitumbuiza baada ya Waziri mkuu kuondoka.
Kikundi cha ngoma kutoka kabila la wasukuma kikitumbuiza baada ya Waziri mkuu kuondoka.
Post a Comment