TRACE TV KWA MARA YA KWANZA WAMEIONYESHA VIDEO YA ALI KIBA CHEKECHA CHEKETUA.
Video hiyo iliyoongozwa na mwongozaji Meji Alabi kutoka Nigeria,imeonyeshwa leo jumatatu na kituo hicho cha TV cha nchini Ufaransa majira ya saa 3 na dakika 32 kwa saa za Afrika Mashariki.
Post a Comment