Header Ads

MAISHA ANAYOYAONYESHA BEYONCE SI YAKE HALISI.


 Mwanadada Mtanzania anayeishi Marekani, Fahari Wambura anazungumzia maisha na maana yake kwa ujumla. Fahari Wambura aliondoka Tanzania mwaka 2004 kwenda kuishi New York, Marekani. Anazungumzia jamii ya Kitanzania na hususan vijana wanavyohadaika na wanayoyasoma mitandaoni na kuyaona mitandaoni. Mengi hayana uhalisia.Usikose kumsikiliza Ijumaa hii, na hapa ni kipande cha kipindi husika..https://www.youtube.com/watch?v=QgbxA42ntt8
Habari na MJENGWA BLOG.

Maggid Mjengwa's photo.

No comments