Header Ads

Taarifa kwa Umma Kuhusu Mlipuko wa Homa ya Nguruwe Jijini Mwanza.


Baada ya kuripotiwa ugonjwa wa Kipindupindu kutokea katika maeneo mbalimbali kanda ya Ziwa headlines zimerudi tena.
Uchunguzi uliofanywa na Maabara ya chuo kikuu cha Kilimo cha Sokoine SUA umethibitisha kuwepo kwa ugonjwa wa homa ya nguruwe katika Wilaya ya Nyamagana, Mwanza.
Katika taarifa iliyotolewa na Katibu tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mwanza, Yohana Sagenge amethibitisha kuwepo kwa ugonjwa huo ambao unasababishwa na Virusi aina ya African Swine fever Virus ambapo madhara yake ni makubwa na husababisha kifo kwa 100%. kwa wanyama hao.

No comments