Picha: Rais Magufuli alivyoondoka kuelekea nchini Uganda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda wakati akielekea kwenye ndege yake tayari kwa safari ya kuelekea nchini Uganda kushiriki Mkutano wa siku mbili wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika jijini Kampala
Post a Comment