Picha za Ray C akiwa ndani ya muonekano mpya wa kihindi.
Huenda huu ukawa ndio ujio mpya wa msanii mkongwe wa muziki wa bongofleva Rehema Chalamika aka Ray C baada ya misukosuko ya hapa na pale katika maisha yake ya muziki.
Muimbaji huyo ambaye amedaiwa kuweza kuachana na matumizi ya Madawa ya kulevya baada ya kushindwa kwa muda mrefu,wiki chache zilizopita aliweka kambi ndani ya studio ya Wanene kwa ajili ya maandalizi ya ujio wake mpya.
Wiki hii amepiga picha zake mpya zinazomuonyesha akiwa na muonekano wa kihindi. Angalia picha.
Post a Comment