Header Ads

VIDEO:GODBLESS LEMA AZUIWA KUWEKA JIWE LA MSINGI.


ARUSHA: Kilichotokea leo baada ya Mkuu wa Mkoa kumzuia Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa Hospitali ya mama na mtoto.
- Taasisi ya Maternity Africa waliingia makubaliano na ARDF pamoja na Mawala Trust kujenga hospitali hiyo ya mama na mtoto.




No comments