VIDEO: Rais Magufuli alivyopiga tumba na Bendi ya msondo Ngoma
October 21 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa mabweni 20 ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3,840.
Wakati wa halfa hiyo ya kuweka jiwe la msingi pia kulikuwa na burudani kutoka bendi ya msondo ngoma, ambapo Rais Magufuli aliungana nao kwa kupiga tumba mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa hosteli za wanafunzi katika chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Post a Comment