Header Ads

GEITA STAND UP.. VIA WADAU WOTE MNAO PENDA MUSIC






Support kubwa kwa vijana wetu wasanii chipukizi wanaofanya mziki wa bongo fleva inahitajika, ili na wao wajikwamue kwa namna moja au nyingine ili kuyafikia malengo yao kupitia muziki wanaoufanya.

Geita ina wasanii chipukizi wengi wenye uwezo mzuri wa kuimba na kurap ,wewe ukiwa kama mdau wa muziki au shabiki mzuri wa wasanii kutoka katika mkoa wa Geita ushawahi kujiuliza ni kwanini wasanii wetu wa hapa nyumbani nyimbo zao zinafanya vizuri lakini wanashindwa kufika mbali zaidi kwa kusambaza kazi zao na kufanya video kali zenye ubora?

Jibu lipo wewe kama shabiki support yako ndo kitu kikubwa zaidi katika kukuza muziki wetu wa hapa nyumbani, kwa kuwaunga mkono kwa kile wanachofanya iwe katika kuudhuria show zao na hata kununua kazi zao, na kwako wewe mdau ambae pia ni mpenzi mzuri wa muziki jaribu kufuatilia kazi za wasanii wetu wa hapa nyumbani utaona kile nnachomaanisha, na mwisho wa siku kama unaweza kumsimamia au kuwasimamia wasanii hawa utaona faida yake kutokana na mziki mzuri wanaoufanya tushirikiane kwa pamoja katika kukuza sanaa ya muziki katika mkoa wetu wa

Geita..Geita Stand up.
Hii ni orodha ya wasanii baadhi tu wanaofanya vizuri katika mkoa wetu wa Geita;


Mo fedha.

kiver t Tz


Amani koja.



Young verse.

Jeffx




Lil paul


Rock G


Producer Lazaro



Producer G- touchz



Shesa


Masu j


Dr. xolly


Mapromo

Lecture

No comments