Header Ads

PICHA:YALIYOJIRI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI MWANZA.

Waziri Nape amesema Wizara yake inatoa fursa ya kupokea mapendekezo juu ya suala la Urushaji wa Matangazo ya bunge Live (moja kwa moja) pamoja na kuhakikisha Sheria kandamizi kwa Vyombo vya habari ikiwemo sheria ya Magazeti ya Mwaka 1977 zinaondolewa.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe.Nape Nhauye akitoa salamu zake katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2016.
Dominica Haule kutoka GEMSAT akitoa salamu zake katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2016.
Mgeni Rasmi, Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, Mhe.Robert Vicent Makaramba (wa pili kulia) akizindua Chapisho la sera ya Jinsia kwa Vyombo vya Habari vya Kijamii nchini.
Mgeni Rasmi, Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, Mhe.Robert Vicent Makaramba (wa pili kulia) akizindua Chapisho la sera ya Jinsia kwa Vyombo vya Habari vya Kijamii nchini.
Picha ya Pamoja

No comments