Header Ads

Video ya Snura ‘Chura’ haitopelekwa kwenye Tv

Baada ya video ya msanii wa Bongofleva Snura kuzinduliwa na kuitoa rasmi video ya ngoma yake mpya ya Chura, headlines nyingi zimekuwa zikiandikwa mitandaoni kuhusiana na video hiyo, wapo wanaoisifia na wapo wanaopenda kuitazama kutokana kuvutiwa na style yake ya uchezaji.
“Kiukweli video ya Chura nimeifanya maalum kwa ajili ya youtube na wala sina mpango wa kuipeleka kwenye Tv yoyote Tanzania, licha ya kuwa nimetumiwa taarifa kuwa Kenya imeshaanza kuchezwa, kwa wanaosema haina maadili mimi sijaitengeneza kwa ajili ya Tv bali youtube kwa anaependa kuitazama ataitazama na kwa mtu ambaye kwake haina maadili asiingie youtube kuiangalia” >>> Snura


UZINDUZI WA VIDEO YA SNURA ‘CHURA’ APRIL 24 2016

No comments