Header Ads

Wema Sepetu Adata na Wimbo Mpya wa Diamond Platnumz (Video)

Ameachana na Diamond lakini Wema Sepetu bado ni shabiki mkubwa wa nyimbo za ex wake huyo.

Malkia huyo wa filamu, amedhihirisha kuwa hana kinyongo na Diamond baada ya kuonekana akiimba wimbo mpya wa msanii huyo, Utanipenda!

Muigizaji huyo aliwahi kunukuliwa akisema ingawa ameachana na Diamond bado ataendelea kupenda muziki wake.

Video yake inayomuonesha akiuimba wimbo huu ilisambaa kutoka kwenye mtandao wa Snapchat.

Angalia Video Hapa Chini:
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments