Header Ads

PICHA:LOWASSA AKIWA AMEPANDA DALADALA ILI KUONA KERO ZA WANANCHI.

Mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa Mh Edward Lowassa akiwa kwenye daladala kuangalia kero za wananchi,ni maeneo ya Gongo lamboto kuelekea Chanika

No comments