Header Ads

HABARI KATIKA PICHA:KURA ZA MAONI CCM KIPIGO KAMA KAZIIII.



Mjumbe Kamati ya Siasa CCM Kata ya Buguruni, Ramadhani Mfinanga (wa pili kushoto mbele) akiokolewa na Hamis Digega (mwenye kofia) ili asipigwe na wanachama wa Kata ya Buguruni baada ya kutokea mtafaruku wa kupinga kuchaguliwa mgombea udiwani wasiyemtaka. 

No comments