UINGEREZA NJE YA KOMBE LA DUNIA WANAWAKE.

Japani walikuwa wakwanza kupata goli la kwanza dakika ya 33 kupitia kwa nahodha wao Aya Miyama baada ya Claire Rafferty kumfanyia madhambi Saori Ariyoshi nje kidogo ya eneo la hatari lakini mwamuzi akaamuru ipigwe penati na Miyami akaukwamisha mpira kambani.MJENGWA.
Post a Comment