SHOW YA WEUSI IDD MOSI YATIKISA GEITA.
Kundi la weusi juzi jumamosi lilifanya show mjini Geita katika ukumbi wa Desire park,katika kuwasherehesha wenyeji wa Geita kwenye sikukuu ya Idd,ambapo mamia ya wana Geita walijitokeza katika show hiyo.
Umati wa watu wakionyesha furaha yao katika show hiyo.
Joh Makini aki perform jukwaani.
Bonta akiwa jukwaani.
Post a Comment