Header Ads

Rais Kikwete aagana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia.




Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu na kufanya mazungumzo na mwakilishi mkazi wa Benki ya Dunia hapa nchini Bwana Philipe Dongier anayemaliza muda wake.Bwana Dongier alikwenda kumuaga Rais Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.









No comments