MAPOKEZI YA MAGUFULI CHATO.
Burudani mbalimbali zikiwa zinaendelea.
Umati wa watu waliojitokeza kumsikiliza mh.John Magufuli katika viwanja vya stendi ya zamani Chato jana jioni.
Mh.John Magufuli akiwapungia mkono wakazi wa Chato alipowasili katika wilaya hiyo jana.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Joseph Msukuma akiongea na wananchi wa Chato jana wakati mh. Magufuli alipokwenda kuzungumza na wananchi wa jimbo lake.
Post a Comment