Header Ads

ALIYOSEMA LULU BAADA YA WEMA KUKATWA VITI MAALUMU.

Image result for lulu michael

Baada  ya  matokeo  ya Ubunge viti maalamu Singida kutoka na Wema Kupigwa chini, Lulu  Michael  amemtia  moyo  Wema  Sepetu  kwa  Kuandika  ujumbe  huu;

Kuna matokeo ya aina 3 
>>Kushinda
>>Kushindwa
>>Kudroo. 
  
Mpaka hapa ulipofika Leo umethubutu kitu ambacho wanawake wengi ni waoga kujaribu wewe ni mshindi Dada yawezeka Kuna kingine zaidi Mungu amekuandalia.

No comments