Header Ads

FRANK WA BONGO MOVIE KUWANIA UBUNGE SEGEREA.

Msanii wa filamu Mohamed Mwikongi "Frank" amejiunga rasmi ACT na kutangaza azma ya kuwania Ubunge jimbo la Segerea.

No comments