Eti Lowassa Akijitoa CCM, Atafilisiwa na Kufanyiwa Hujuma, Nani Kasema?
Uamuzi wa Mhe Edward Lowassa kuhama kutoka kwenye chama chake cha enzi (CCM) na kujiunga na chama kingine cha siasa, ni uamuzi mgumu lakini sahihi kwa kadri itakavyompendeza.
Leo, watu wanabashiri endapo atafanya uamuzi huo, basi huo utakuwa ndio mwisho wake wa kisiasa na hata kiuchumi, kwa madai kwamba 'madudu' yake yote yatatumiwa kumbananisha kwenye kona na kummaliza kabisa ili asifurukute. Mmmmh!!!
Wengine wanafafanua kwamba, TAKUKURU na mamlaka nyinginezo kama TRA wataanza kumsakama kuhusu mali zake ambazo 'zinasemekana' zimechumwa kifisadi, na Mahakama itagongelea msumari wa mwisho kumsweka gerezani au kuruhusu afilisiwe kwa mamlaka iliyonayo...
Hizi ni hoja dhaifu sana. Ni mawazo mufilisi kuamini kwamba Lowassa atasita kufanya maamuzi ya aina hiyo akitaka kwa kuhofia hayo yasemwayo. What a great underestimation!!!
Tuseme hayo yote yatafanyika, lakini will he really give up the defeat?! Muache kumfananisha Lowassa na Martha Mlata bandugu. Lowassa is too BIG!
Amevaa sura ya upole usoni lakini ana nguvu kubwa sana kwa ndani. Naweza kuhisi moto unaomuwaka nyoyoni na hasira aliyonayo kwa sasa. CCM isijefanya mistake kabisa.
Natoa ushauri; Aachwe awe huru na maamuzi yake. Aangaliwe moves zake, Aangaliwe kama ataropoka, pengine atakuwa ameamua kuondoka kwa wema, sasa kama ni hivyo, uamuzi wa 'kumzuia' ni uamuzi hatari sana.
Wanayoyajua CCM kuhusu Lowassa, Lowassa anayajua pia kuhusu wao; WAKIMWAGA MBOGA.............???

Post a Comment