Header Ads

ACACIA YADHAMINI UJENZI WA MAABARA KATIKA SHULE YA SEKONDARY KATA YA NYIJUNDU WILAYANI NYANG'HWALE.

Akizungumzia ujenzi huo mhandisi wa ACACIA Bw.Godfrey Julius alisema ujenzi huo utagharimu takribani Tshs 200milioni hadi kukamilika kwake.Pia kufikia mwezi wa tisa wanatarajia kukabidhi mradi huo.




 Mhandisi wa ACACIA Bw.Godfrey Julius akionyesha baadhi ya stuli zitakazotumika kwenye maabara hiyo.


 Diwani wa kata ya Nyijundu Mh.Jackob Daniel Nyanda akitoa shukrani kwa ufadhili huo uliotolewa na mgodi wa ACACIA.

 Shule hiyo kwa sasa ina jumla ya vidato viwili.

Mmoja kati ya wakazi wa kata ya Nyijundu akizungumza na waandishi wa habari ambapo alisema anaishukuru sana ACACIA na kutoa wito kwa wawekezaji wengine kuiga mfano huo kwa kuchangia huduma za jamii.PAUL BAHEBE.

No comments