STORM FM YASHEREHEKEA MIAKA MITATU TANGU KUANZISHWA KWAKE KWA KUWAKUTANISHA WADAU WA SOKA GEITA.
| Sherehe ya kukata keki na kusherehekea Miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa kituo hicho zikiendelea na kuongozwa na Meneja wa Storm fm Modesta Mselewa. |
| Shamra shamra zikiendelea kwenye chumba cha kuandalia habari. |
| Wafanyakazi wakifurahia kutimiza miaka mitatu ya kuendelea kuhabarisha umma,kuburudisha na kutoa Elimu. |
| Meneja wa Storm Fm Modesta Mselewa akigawa keki kwa wafanyakazi wakati wa sherehe za miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Storm fm. |
![]() |
| Timu zote mbili zikiingia uwanjani kwa ajili ya kusakata kabumbu. |
![]() |
| Timu ya Wakongwe wa Lwamgasa wakiwa kwenye picha ya Pamoja. |
![]() |
| Timu ya Storm Fc wakiwa kwenye mazungumzo wakati walipokuwa wakijiandaa na mpira kwenye viwanja vya Lwamgasa. |
![]() |
| Wananchi ambao walijitokeza kufuatilia Mtanange baina ya Wakongwe wa Lwamgasa na Storm FC. |





Post a Comment