Trump abadili msimamo kuhusu makaazi ya Israel
Rais wa Marekani Donald Trump
Ikulu ya White house nchini Marekani inasema kuwa utawala wa Donald Trump haujachukua msimamo rasmi kuhusu ujenzi wa makaazi ya Israel katika ardhi ya Palestina, lakini upanuzi zaidi wa makaazi hayo huenda ukaathiri mazungumzo ya amani katika eneo hilo.
Taarifa hiyo inajiri saa kadhaa baada ya waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuahidi kuanzisha ujenzi wa makaazi mapya ya serikali baada ya kituo cha kijeshi cha Amona kuharibiwa.
Makazi mapya ya Israel yanayojengwa katika Ardhi ya Palestina


Post a Comment