Header Ads

AL-SHABAAB WAISHAMBULIA TENA KENYA.


Wanamgambo wa Al Shabaab zaidi ya 20 wavamia kambi ya polisi ya (AP) eneo la Arabia jimbo la Mandera Kaskazini Mashariki mwa Kenya.
Idadi isiyojulikana ya maafisa wa polisi wanahofiwa kuuawa huku kadhaa wakijeruhiwa huku wakiharibu vifaa vya tume ya uchaguzi vilivyo kuwa katika eneo hilo.
Ambapo minara ya mawasiliano pia imelipuliwa na wanamgambo hao na kufanya mawasiliano kuwa shida.
Naibu kamishna wa polisi eneo la Mandera Erick Oronyi amedhibitisha kutokea kwa shambulizi hilo.

No comments