Header Ads

Picha: Huyu ndiye mwalimu aliyerekodi video ya mwanafunzi aliyeteswa mbeya


Pichani  ni Mwalimu  E.H wa Iringa University  aliyechukizwa na kitendo cha walimu wanne waliomshambulia mwanafunzi  aitwaye Sebastian Chinguku wa kidato cha tatu wa Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Mbeya Septemba 28, mwaka huu saa 6 mchana licha ya ujasiri wa kurekodi tukio lile alisikika akisema "mwalimu muacheni mtamuumiza

No comments