MUFTI MKUU WA TANZANIA SHEIKH ZUBERY ATANGAZA SIKU YA SIKUKUU YA EID EL FITRI
Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeiry ametangaza sikukuu ya Eid el Fitri kuwa ni kesho Jumatano, Julai 6.
Tunawatakiwa Waislamu wote sikukuu njema na washerehekee kwa amani.
Post a Comment