WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA WAITUPIA LAWAMA SERIKALI.
Wakazi wa kata ya Nyarugusu wilayani na mkoani Geita wameitupia lawama serikali kwa kushindwa kuwatengea maeneo wachimbaji wadogo wadogo.
Wakizungumza na storm habari baadhi ya wachimbaji katika ofisi ya serikali ya kata hiyo wamesema kuwa serikali imekuwa ikiwafukuza katika maeneo ya machimbo na huku ikiwa imeshindwa kuwapatia maeneo ya kufanyia kazi
BONYEZA LINK HAPA CHINI KUWASIKIA WANANCHI WAKITOA KERO ZAO;
http://www.audiomack.com/song/paul-bahebe-fm/uchimbaji-geita
Post a Comment