TAKUKURU Yamfikisha Aliyekuwa Mwalimu Mahakamani.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoani Geita imemfikisha mahakamani Mwalimu Onyango Nguka aliyekuwa akifundisha Shule ya Sekondari Geita kwa kosa la kuisababishia Serikali hasara ya shilingo milioni 3.9.
Inadaiwa mshtakiwa huyo ameisababishia Halmashauri kiasi hicho cha fedha kutokana na kuchukua mshahara kuanzia mwezi machi hadi novemba 2014 pasipo kuwepo kazini.
Post a Comment