Header Ads

Raia wa China Wakamatwa Wilayani Geita.

Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Geita imewakamata raia 16 wa China ambao wapo nchini wakifanya kazi katika maeneo ya uchimbaji kinyume na taratibu.
Wachina hao ambaowameingia nchini kwa nyakati tofauti viza zao zinaonyesha wamekuja kwa ajili ya kutalii lakini badala yake wamejiingiza katika ajira kwenye mgodi wa Eagle brand mining Investiment unaojihusisha na uchimbaji wa dhahabu katika kijiji cha Nyamahuna.

No comments