Mwalimu Aishi Darasani na Familia Yake kwa Miaka 10.
Katika hali ambayo ya kushangaza aliyekuwa Mwalimu wa shule ya msingi Mwagimaji iliyopo kata ya Nyanguku Mjini Geita Hamis Mumwi amekuwa akiisha katika darasani na familia yake takribani miaka 10 baada ya kufukuzwa kwa kosa la kumpa mimba mwanafunzi na kisha kumuoa.
Mwalimu huyo alifukuzwa mwaka 2002 na amekuwa akiishi katika darasa hali ambayo imechangia wanafunzi wa shule hiyo kuwa na vyumba vichache na kusababisha darasa moja kukaa wanafunzi wa madarasa tofauti.
Post a Comment