Header Ads

Idara ya Ardhi Yatuhumiwa Kuuza Eneo la Wazi.

Watendaji wa Halmashauri ya Mji wa Geita wamedaiwa kuwa ndio chanzo kikubwa cha kutoendelea kwa mji wa Geita kutokana na kutowajibika ipasavyo katika ukusanyaji wa mapato yatakayosaidia maendeleo ya mji wa Geita katika Nyanja mbalimbali.
Imedaiwa kuwa kuna baadhi ya vyanzo vya mapato havifatiliwi ipasavyo na vile ambavyo kuna mzabuni basi fedha anazokusanya kama ushuru unafikishwa katika Halmashauri kwa kiasi kidogo.

No comments