Hatimaye Mwalimu Aliyekuwa Anaishi Darasani Ahama.
Hatimaye Halmashauri ya Mji wa Geita kwa kushirikiana na jeshi la Polisi wamefanikiwa kumtoa Mwalimu Hamis Mumwi aliyekuwa akiishi darasani katika shule ya msingi Mwagimaji.
Mwalimu Mumwi ameishi kwa takribani miaka 10 darasani na familia yake baada ya kufukuzwa kazi kwa madai ya kumpa mimba Mwanafunzi na Kumuoa ambapo aligoma kutoka katika darasa hadi Halmashauri imlipe stahiki zake.
Post a Comment