Waziri Mkuu Awasili Mjini Dodoma Kuhudhuria Vikao Vya Bunge .....Afanya Mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Chiku Galawa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma January 20, 2016 ambako pamoja na mambo mengine anatarajiwa kuhudhuria vikao vya Bunge. Kulia ni mkewe Mary. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye Ofisi Kuu ya CCM mjini Dodoma jana Januari 20, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment