Suala la Magwangala kwa Wachimbaji Wadogo Lapata Suluhisho.
Hatimaye Kilio cha zaidi ya miaka kumi cha wakazi wa Geita hasa Wachimbaji Wadogo cha kupewa mawe yenye masalia ya dhahabu yajulikanayo kwa jina la magwangala yanayomwaga na Mgodi wa Dhahabu wa GGM limepata ufumbuzi baada ya Mgodi wa Dhahabu kuridhia kuyatoa mawe hayo kwa utaratibu.
Magwangala yana historia Geita hasa kwa kipindi cha Nyma wachimbaji wadogo walikuwa wakiingia mgodini kwa ajili ya kufata magwangala kwa kupita njia harishi zilizosababisha vifo kwa baadhi yao.
Post a Comment