Header Ads

Utoro Bado ni Changamoto Shule za Msingi.

Pamoja na Mkoa wa Geita kufanya vizuri katika matokeo ya darasa la saba kitaifa kwa kushika nafasi ya sita bado Mkoa unakabiliwa na changamoto kubwa ya utoro ambapo takwimu zinaonyesha wnafunzi walioanza darasa la saba mwaka 2009 na waliomaliza idadi ni tofauti.
Wanafunzi walioandikishwa darasa la kwanza ni 42071 na waliofanya mtihani wa darasa la saba ni 26274 ambapo wadau wa Elimu wametakiwa kusimamia mahudhurio ya wanafunzi shuleni ili kuongeza asilimia ya wanaohitimu kama yalivyo malengo ya millennia ya elimu kwa wote
.

No comments