Umoja wa Afrika(AU) umeahidi kuhakikisha mauaji ya kimbari hayatokei Burundi. Wasema kuna uwezekano wa vita ya wenyewe kwa wenyewe. Kuanzia mwezi Aprili mwaka huu, watu takribani 400 wamepoteza maisha nchini Burundi kutokana na vurugu zinazoendelea
Post a Comment